📢 Karibuni sana Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana, kwa huduma bora za Wakfu/Amana, Mirathi, Zakka, Hijja na Misada📢 Mahujaji wote watarajiwa kwa mwaka 1448/2027 wanahitajika kujisajili kwa wakati ili kukamilisha Mashart yalowekwa na Wizara ya Hijja ya Saudia
Mheshimiwa Balozi,Eng. Zena katikati akiwa. Shekh Abdulla Talib Abdulla akiwa upande wa Kulia wakiwa Madina.
Watendaji wa Kamisheni ya Wakfu walipokuwa wanapokea mafunzo ya mfumo wa WAMIS kutoka kwa watendaji wa ZMOTION Company
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Husseuin Ali Mwinyi, akipokea maelezo kutoka kwa Afisa kamisheni ya Wakfu katika kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya mama Samia