Kuhakikisha usimamizi bora wa mali za Wakf na Trust kwa uwazi, uadilifu na matumizi sahihi kwa manufaa ya jamii.
Kuwa taasisi bora ya mfano katika usimamizi wa mali za Wakf kupitia mifumo ya kidigitali kama WAMIS.